Matendo 19:11-12
Matendo 19:11-12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mungu akafanya kwa mikono ya Paulo miujiza ya kupita kawaida; hata wagonjwa wakaletewa leso na nguo zilizotoka mwilini mwake, magonjwa yao yakawaondokea, pepo wachafu wakawatoka.
Shirikisha
Soma Matendo 19Matendo 19:11-12 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu alifanya miujiza ya ajabu kwa mikono ya Paulo. Watu walikuwa wakichukua leso na nguo nyingine za kazi ambazo Paulo alikuwa amezitumia, wakazipeleka kwa wagonjwa, nao wakaponywa magonjwa yao; na wale waliokuwa na pepo wabaya wakatokwa na pepo hao.
Shirikisha
Soma Matendo 19