Matendo 2:38
Matendo 2:38 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.
Shirikisha
Soma Matendo 2Matendo 2:38 Biblia Habari Njema (BHN)
Petro akajibu, “Tubuni na kila mmoja wenu abatizwe kwa jina la Yesu Kristo ili mpate kuondolewa dhambi zenu na kupokea ile ahadi ya Roho Mtakatifu.
Shirikisha
Soma Matendo 2