Matendo 2:4
Matendo 2:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.
Shirikisha
Soma Matendo 2Matendo 2:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema lugha mbalimbali kadiri Roho alivyowawezesha.
Shirikisha
Soma Matendo 2