Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 2:43 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 2:43 BHN (Biblia Habari Njema)

Miujiza na maajabu mengi yalifanyika kwa njia ya mitume hata kila mtu akajawa na hofu.

Shirikisha
Matendo 2 BHN

Matendo 2:43 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kila mtu akaingiwa na hofu; ajabu nyingi na ishara zikafanywa na mitume.

Shirikisha
Matendo 2 SUV

Matendo 2:43 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kila mtu akaingiwa na hofu; ajabu nyingi na ishara zikafanywa na mitume.

Shirikisha
Matendo 2 SRUV

Matendo 2:43 NEN (Neno)

Kila mtu akaingiwa na hofu ya Mungu, nayo miujiza mingi na ishara zikafanywa na mitume.

Shirikisha
Matendo 2 NEN