Matendo 2:44-45
Matendo 2:44-45 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na wote walioamini walikuwa mahali pamoja, na kuwa na vitu vyote kishirika, wakiuza mali zao, na vitu vyao walivyokuwa navyo, na kuwagawia watu wote kulingana na haja ya kila mmoja.
Shirikisha
Soma Matendo 2Matendo 2:44-45 Biblia Habari Njema (BHN)
Waumini wote waliendelea kuwa kitu kimoja na mali zao waligawiana. Walikuwa wakiuza mali na vitu vyao kisha wakagawana fedha kadiri ya mahitaji ya kila mmoja.
Shirikisha
Soma Matendo 2