Matendo 20:24
Matendo 20:24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini siyahesabu maisha yangu kuwa kitu cha thamani kwangu kama kuumaliza mwendo wangu na huduma ile niliyopokea kwa Bwana Yesu, kuishuhudia Habari Njema ya neema ya Mungu.
Shirikisha
Soma Matendo 20Matendo 20:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini, siuthamini uhai wangu kuwa kitu sana kwangu mradi tu nikamilishe ule utume wangu na ile kazi aliyonipa Bwana Yesu niifanye, yaani nishuhudie Habari Njema ya neema ya Mungu.
Shirikisha
Soma Matendo 20