Matendo 20:32
Matendo 20:32 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi, sasa nawaweka katika mikono ya Mungu, na kwa neno la neema yake, ambalo laweza kuwajenga na kuwapa urithi pamoja nao wote waliotakaswa.
Shirikisha
Soma Matendo 20Matendo 20:32 Biblia Habari Njema (BHN)
“Na sasa basi, ninawaweka nyinyi chini ya ulinzi wa Mungu na ujumbe wa neema yake. Yeye anao uwezo wa kuwajenga na kuwawezesha mzipate zile baraka alizowawekea watu wake.
Shirikisha
Soma Matendo 20