Matendo 20:35
Matendo 20:35 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Katika mambo yote nimewaonyesha ya kuwa kwa kushika kazi hivi imewapasa kuwasaidia wanyonge, na kuyakumbuka maneno ya Bwana Yesu, jinsi alivyosema mwenyewe, Ni heri kutoa kuliko kupokea.
Shirikisha
Soma Matendo 20Matendo 20:35 Biblia Habari Njema (BHN)
Nimekuwa nikiwapeni daima mfano kwamba kwa kufanya kazi mithili hiyo tunapaswa kuwasaidia walio dhaifu, tukikumbuka maneno ya Bwana Yesu mwenyewe: ‘Heri zaidi kutoa kuliko kupokea.’”
Shirikisha
Soma Matendo 20Matendo 20:35 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika mambo yote nimewaonesha ya kuwa kwa kushika kazi hivi imewapasa kuwasaidia wanyonge, na kuyakumbuka maneno ya Bwana Yesu, jinsi alivyosema mwenyewe, Ni heri kutoa kuliko kupokea.
Shirikisha
Soma Matendo 20