Matendo 24:25
Matendo 24:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na Paulo alipokuwa akitoa hoja zake kuhusu haki, na kuwa na kiasi, na hukumu itakayokuja, Feliki akaingiwa na hofu na kusema, Sasa nenda zako, nami nikipata nafasi nitakuita.
Shirikisha
Soma Matendo 24Matendo 24:25 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Naye Paulo alipokuwa akinena juu ya haki, kuwa na kiasi na juu ya hukumu ijayo, Feliksi aliingiwa na hofu na kusema, “Hiyo yatosha sasa! Waweza kuondoka. Nitakapokuwa na wasaa nitakuita.”
Shirikisha
Soma Matendo 24