Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 28:7 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 28:7 BHN (Biblia Habari Njema)

Karibu na mahali pale palikuwa na mashamba ya Publio, mkuu wa kile kisiwa. Publio alitukaribisha kirafiki, tukawa wageni wake kwa siku tatu.

Shirikisha
Matendo 28 BHN

Matendo 28:7 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Karibu na mahali pale palikuwa na mashamba ya mkuu wa kisiwa, jina lake Publio; mtu huyu akatukaribisha kwa moyo wa urafiki, akatufanya wageni wake kwa muda wa siku tatu.

Shirikisha
Matendo 28 SUV

Matendo 28:7 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Karibu na mahali pale palikuwa na mashamba ya mkuu wa kisiwa, jina lake Publio; mtu huyu akatukaribisha kwa moyo wa urafiki, akatufanya wageni wake kwa muda wa siku tatu.

Shirikisha
Matendo 28 SRUV

Matendo 28:7 NEN (Neno)

Basi karibu na sehemu ile, palikuwa na shamba kubwa la kiongozi mkuu wa kile kisiwa, aliyeitwa Publio. Alitupokea kwake, na akatuhudumia kwa ukarimu mkubwa kwa muda wa siku tatu.

Shirikisha
Matendo 28 NEN