Matendo 3:6
Matendo 3:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini Petro akasema, Mimi sina fedha, wala dhahabu, lakini nilicho nacho ndicho nikupacho. Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, simama uende.
Shirikisha
Soma Matendo 3Matendo 3:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Petro akamwambia, “Sina fedha wala dhahabu, lakini kile nilicho nacho nitakupa. Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, tembea!”
Shirikisha
Soma Matendo 3