Matendo 4:29
Matendo 4:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi sasa, Bwana, viangalie vitisho vyao; ukawajalie watumwa wako kunena neno lako kwa ujasiri wote
Shirikisha
Soma Matendo 4Matendo 4:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini sasa, ee Bwana, angalia vitisho vyao. Utuwezeshe sisi watumishi wako kuhubiri neno lako kwa uhodari.
Shirikisha
Soma Matendo 4