Matendo 6:3-4
Matendo 6:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo, ndugu zetu, chagueni miongoni mwenu watu saba wenye sifa njema, waliojawa na Roho na wenye hekima; nasi tutawakabidhi jukumu hilo. Sisi, lakini, tutashughulika na sala na kazi ya kuhubiri neno la Mungu.”
Shirikisha
Soma Matendo 6Matendo 6:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi ndugu, chagueni watu saba miongoni mwenu, walioshuhudiwa kuwa wema, wenye kujawa na Roho, na hekima, ili tuwaweke juu ya jambo hili; na sisi tutadumu katika kuomba na kulihudumia lile Neno.
Shirikisha
Soma Matendo 6