Matendo 6:7
Matendo 6:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Neno la Mungu likaenea; na hesabu ya wanafunzi ikazidi sana katika Yerusalemu; jamii kubwa ya makuhani wakaitii ile Imani.
Shirikisha
Soma Matendo 6Matendo 6:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Neno la Mungu likazidi kuenea na idadi ya waumini huko Yerusalemu ikaongezeka zaidi, na kundi kubwa la makuhani wakaipokea imani.
Shirikisha
Soma Matendo 6