Matendo 7:60 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 7:60 BHN (Biblia Habari Njema)
Akapiga magoti, akalia kwa sauti kubwa: “Bwana, usiwalaumu kwa sababu ya dhambi hii.” Baada ya kusema hivyo, akafa.
Shirikisha
Matendo 7 BHNMatendo 7:60 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akapiga magoti, akalia kwa sauti kuu, Bwana, usiwahesabie dhambi hii. Akiisha kusema haya akalala. Na Sauli alikuwa akiona vema kwa kuuawa kwake.
Shirikisha
Matendo 7 SUVMatendo 7:60 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Akapiga magoti, akalia kwa sauti kuu, Bwana, usiwahesabie dhambi hii. Akiisha kusema haya akalala. Na Sauli alikuwa akiona kitendo cha kuuawa kwake kuwa sawa.
Shirikisha
Matendo 7 SRUVMatendo 7:60 NEN (Neno)
Kisha akapiga magoti, akalia kwa sauti kubwa akasema, “Bwana, usiwahesabie dhambi hii.” Baada ya kusema hayo, akalala.
Shirikisha
Matendo 7 NEN