Matendo 8:39
Matendo 8:39 Biblia Habari Njema (BHN)
Walipotoka majini Roho wa Bwana akamfanya Filipo atoweke. Na huyo towashi hakumwona tena; lakini akaendelea na safari yake mwenye furaha.
Shirikisha
Soma Matendo 8Matendo 8:39 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha, walipopanda kutoka majini, Roho wa Bwana akamnyakua Filipo, yule towashi asimwone tena; basi alikwenda zake akifurahi.
Shirikisha
Soma Matendo 8