Matendo 9:15
Matendo 9:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Bwana akamwambia, “Nenda tu, kwa maana nimemchagua awe chombo changu, alitangaze jina langu kwa mataifa na wafalme wao na kwa watu wa Israeli.
Shirikisha
Soma Matendo 9Matendo 9:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini Bwana akamwambia, Nenda tu; kwa maana huyu ni chombo kiteule kwangu, alichukue Jina langu mbele ya Mataifa, na wafalme, na wana wa Israeli.
Shirikisha
Soma Matendo 9