Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Amosi 1:9 - Linganisha Matoleo Yote

Amosi 1:9 BHN (Biblia Habari Njema)

Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Watu wa Tiro wametenda dhambi tena na tena, kwa hiyo sitaacha kuwaadhibu. Walichukua mateka kabila zima hadi Edomu, wakaukiuka mkataba wa urafiki waliokuwa wamefanya.

Shirikisha
Amosi 1 BHN

Amosi 1:9 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Haya ndiyo asemayo BWANA; Kwa makosa matatu ya Tiro, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu wameitia kabila nzima katika mikono ya Edomu, wala hawakulikumbuka agano la udugu

Shirikisha
Amosi 1 SUV

Amosi 1:9 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Haya ndiyo asemayo BWANA; Kwa makosa matatu ya Tiro, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu wameitia kabila nzima katika mikono ya Edomu, wala hawakulikumbuka agano la udugu

Shirikisha
Amosi 1 SRUV

Amosi 1:9 NEN (Neno)

Hili ndilo asemalo BWANA: “Kwa dhambi tatu za Tiro, hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. Kwa sababu ameuza jumuiya nzima ya mateka kwa Edomu, na kutokujali mapatano ya undugu

Shirikisha
Amosi 1 NEN