Amosi 2:6
Amosi 2:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Haya ndiyo asemayo BWANA; Kwa makosa matatu ya Israeli, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu wamewauza wenye haki kwa fedha, na maskini kwa jozi ya viatu
Shirikisha
Soma Amosi 2Amosi 2:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Waisraeli wametenda dhambi tena na tena, kwa hiyo sitaacha kuwaadhibu. Wamewauza watu waaminifu kwa kuwa hawakuweza kulipa madeni yao; na kuwauza watu fukara wasioweza kulipa deni la kandambili.
Shirikisha
Soma Amosi 2