Amosi 2:7
Amosi 2:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
nao hutwetea mavumbi yaliyo juu ya vichwa vya maskini, na kuipotosha njia ya mwenye upole; na mtu na baba yake humwendea mwanamke mmoja, hata kulitia unajisi jina langu takatifu
Shirikisha
Soma Amosi 2Amosi 2:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Huwanyanyasa na kuwakandamiza wanyonge, na maskini huwabagua wasipate haki zao. Mtu na baba yake hulala na mjakazi yuleyule, hivyo hulitia unajisi jina langu takatifu.
Shirikisha
Soma Amosi 2