Amosi 3:3
Amosi 3:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, watu wawili huanza safari pamoja, bila ya kufanya mpango pamoja kwanza?
Shirikisha
Soma Amosi 3Amosi 3:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Je! Watu wawili wanaweza kutembea pamoja, wasipokuwa wamepatana?
Shirikisha
Soma Amosi 3