Amosi 4:13
Amosi 4:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu ndiye aliyeifanya milima, na kuumba upepo; ndiye amjulishaye mwanadamu mawazo yake; ndiye ageuzaye mchana kuwa usiku, na kukanyaga vilele vya dunia. Mwenyezi-Mungu wa Majeshi ndilo jina lake!
Shirikisha
Soma Amosi 4Amosi 4:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa maana, angalia, yeye aifanyizaye milima, na kuuumba upepo, na kumwambia mwanadamu mawazo yake, afanyaye asubuhi kuwa giza, na kupakanyaga mahali pa dunia palipoinuka; BWANA, Mungu wa majeshi, ndilo jina lake.
Shirikisha
Soma Amosi 4