Amosi 4:6
Amosi 4:6 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mimi niliwanyima chochote cha kutafuna, nikasababisha ukosefu wa chakula popote. Hata hivyo hamkunirudia. Nasema mimi Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Amosi 4Amosi 4:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mimi nami nimewapa usafi wa meno katika miji yenu yote, na kutindikiwa na mkate mahali penu pote; lakini hamkunirudia mimi, asema BWANA.
Shirikisha
Soma Amosi 4