Amosi 5:14
Amosi 5:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Tafuteni kutenda mema na si mabaya, ili nyinyi mpate kuishi naye Mwenyezi-Mungu wa majeshi awe pamoja nanyi kama mnavyosema.
Shirikisha
Soma Amosi 5Amosi 5:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tafuteni mema, wala si mabaya, mpate kuishi; hivyo BWANA, Mungu wa majeshi, atakuwa pamoja nanyi, kama msemavyo.
Shirikisha
Soma Amosi 5