Amosi 5:15
Amosi 5:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Chukieni uovu, pendeni wema, na kudumisha haki mahakamani. Yamkini Mwenyezi-Mungu wa majeshi atawafadhili watu wa Yosefu waliobaki.
Shirikisha
Soma Amosi 5Amosi 5:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yachukieni mabaya; yapendeni mema; mkaithibitishe haki langoni; yamkini kwamba BWANA, Mungu wa majeshi, atawafanyia fadhili mabaki ya Yusufu.
Shirikisha
Soma Amosi 5