Amosi 5:24
Amosi 5:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini acheni haki itiririke kama maji, uadilifu uwe kama mto usiokauka.
Shirikisha
Soma Amosi 5Amosi 5:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini hukumu na iteremke kama maji, na haki kama maji makuu.
Shirikisha
Soma Amosi 5