Amosi 6:1
Amosi 6:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Ole wenu nyinyi mnaostarehe huko Siyoni, nanyi mnaojiona salama mlimani Samaria! Nyinyi mwaonekana kuwa viongozi wa taifa maarufu ambao Waisraeli wote huwategemea.
Shirikisha
Soma Amosi 6Amosi 6:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ole wao wanaostarehe katika Sayuni, na hao wanaokaa salama katika mlima wa Samaria, watu mashuhuri wa taifa lililo la kwanza, ambao nyumba ya Israeli huwaendea.
Shirikisha
Soma Amosi 6