Amosi 8:12
Amosi 8:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu watatangatanga kutoka bahari hata bahari, kutoka upande wa kaskazini mpaka mashariki. Watakimbia huko na huko wakitafuta neno la Mwenyezi-Mungu, lakini hawatalipata.
Shirikisha
Soma Amosi 8Amosi 8:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nao watatangatanga toka bahari hata bahari; na toka upande wa kaskazi hata upande wa mashariki; watapiga mbio, wakienda huku na huko, kulitafuta neno la BWANA, wasilione.
Shirikisha
Soma Amosi 8