Wakolosai 2:7
Wakolosai 2:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Muwe na mizizi ndani yake, mjijenge juu yake na kuwa imara katika imani kama mlivyofundishwa. Muwe na shukrani tele.
Shirikisha
Soma Wakolosai 2Wakolosai 2:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wenye shina na wenye kujengwa katika yeye; mmefanywa imara kwa imani, kama mlivyofundishwa; mkizidi kutoa shukrani.
Shirikisha
Soma Wakolosai 2