Wakolosai 2:8
Wakolosai 2:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Angalieni, basi, mtu asiwapotoshe kwa udanganyifu mtupu wa hekima ya kibinadamu, ambayo chanzo chake ni mafundisho ya mapokeo ya watu na ya pepo watawala, na wala si Kristo mwenyewe!
Shirikisha
Soma Wakolosai 2Wakolosai 2:8 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Angalieni mtu yeyote asiwafanye ninyi mateka kwa elimu batili na madanganyo matupu yanayotegemea mapokeo ya wanadamu na mafundisho ya ulimwengu badala ya Kristo.
Shirikisha
Soma Wakolosai 2