Wakolosai 3:10
Wakolosai 3:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mkivaa utu mpya, unaofanywa upya katika ufahamu kulingana na mfano wake yeye aliyeuumba.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3Wakolosai 3:10 Biblia Habari Njema (BHN)
mkavaa utu mpya. Huu unaendelea kurekebishwa na Mungu, Muumba wake, kadiri ya mfano wake, ili mpate kumjua Mungu kwa ukamilifu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3