Wakolosai 3:17
Wakolosai 3:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Na, kila mfanyacho kwa neno au tendo, fanyeni vyote kwa jina la Bwana Yesu na kumshukuru Mungu Baba kwa njia yake.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3Wakolosai 3:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na kila mfanyalo, kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba kupitia kwake.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3Wakolosai 3:17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na kila mfanyalo, kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba kwa yeye.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3