Wakolosai 3:5
Wakolosai 3:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, ueni chochote kilicho ndani yenu ambacho ni cha kidunia: Uasherati, uchafu, shauku, tamaa mbaya na uchu (ambao ni sawa na kuabudu sanamu).
Shirikisha
Soma Wakolosai 3Wakolosai 3:5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi, vifisheni viungo vyenu vilivyo katika nchi, uasherati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya, na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu
Shirikisha
Soma Wakolosai 3