Wakolosai 4:5
Wakolosai 4:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Muwe na hekima katika uhusiano wenu na watu wasioamini, mkitumia vizuri wakati mlio nao.
Shirikisha
Soma Wakolosai 4Wakolosai 4:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nendeni kwa hekima mbele yao walio nje, mkiukomboa wakati.
Shirikisha
Soma Wakolosai 4Wakolosai 4:5 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Enendeni kwa hekima mbele yao walio nje, mkiukomboa wakati.
Shirikisha
Soma Wakolosai 4