Wakolosai 4:6
Wakolosai 4:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Mazungumzo yenu yanapaswa kuwa daima mema na yaliyokolezwa kwa chumvi na ya kuvutia, na mnapaswa kujua jinsi ya kumjibu vizuri kila mmoja.
Shirikisha
Soma Wakolosai 4Wakolosai 4:6 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Maneno yenu yawe yamejaa neema siku zote, yanayofaa, ili mjue jinsi iwapasavyo na inavyofaa kumjibu kila mtu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 4