Danieli 1:17
Danieli 1:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu aliwajalia vijana hao wanne maarifa na ujuzi katika elimu na hekima. Zaidi ya hayo, alimjalia Danieli kipawa cha kufasiri maono na ndoto.
Shirikisha
Soma Danieli 1Danieli 1:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, kwa habari za hao vijana wanne, Mungu aliwapa maarifa na ujuzi katika elimu na hekima; Danieli naye alikuwa na ufahamu katika maono yote, na ndoto.
Shirikisha
Soma Danieli 1