Danieli 1:8
Danieli 1:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Danieli aliamua kutojitia unajisi kwa kula chakula bora cha mfalme na kunywa divai yake. Kwa hiyo, alimwomba towashi mkuu amruhusu asile vitu hivyo na kujitia unajisi.
Shirikisha
Soma Danieli 1Danieli 1:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini Danieli aliazimu moyoni mwake ya kuwa hatajitia unajisi kwa chakula cha mfalme, wala kwa divai aliyokunywa; basi akamwomba yule mkuu wa matowashi ampe ruhusa asijitie unajisi.
Shirikisha
Soma Danieli 1