Danieli 11:23 - Linganisha Matoleo Yote
Danieli 11:23 BHN (Biblia Habari Njema)
Kwa kufanya mapatano, atayahadaa mataifa mengine, na ataendelea kupata nguvu ingawa atatawala taifa dogo.
Shirikisha
Danieli 11 BHNDanieli 11:23 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na baada ya maagano atatenda kwa hila; maana atapanda, naye atakuwa hodari pamoja na watu wadogo.
Shirikisha
Danieli 11 SUVDanieli 11:23 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na baada ya maagano atatenda kwa hila; maana atapanda, naye atakuwa hodari pamoja na watu wadogo.
Shirikisha
Danieli 11 SRUVDanieli 11:23 NEN (Neno)
Baada ya kufanya mapatano naye, atatenda kwa udanganyifu, na ataingia madarakani akitumia watu wachache tu.
Shirikisha
Danieli 11 NEN