Danieli 12:10
Danieli 12:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu wengi wataondolewa uchafu, watatakaswa na kusafishwa. Lakini watu waovu wataendelea kutenda uovu. Hakuna hata mmoja wa hao waovu atakayeelewa; wenye hekima ndio watakaoelewa.
Shirikisha
Soma Danieli 12Danieli 12:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wengi watajitakasa, na kujifanya weupe, na kusafika; bali wabaya watatenda mabaya; wala hataelewa mtu mbaya awaye yote; bali wao walio na hekima ndio watakaoelewa.
Shirikisha
Soma Danieli 12