Danieli 12:2
Danieli 12:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena, wengi wa hao wanaolala katika mavumbi ya nchi wataamka, wengine wapate uzima wa milele, wengine aibu na kudharauliwa milele.
Shirikisha
Soma Danieli 12Danieli 12:2 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Wengi ambao wamelala kwenye mavumbi wataamka, baadhi yao kwa uzima wa milele, wengine kwa aibu na kudharauliwa milele.
Shirikisha
Soma Danieli 12