Danieli 3:25
Danieli 3:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akajibu, akasema, Tazama, mimi naona watu wanne, nao wamefunguliwa, wanatembea katikati ya moto hali hawana dhara; na sura yake yule wa nne ni mfano wa mwana wa miungu.
Shirikisha
Soma Danieli 3Danieli 3:25 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Danieli 3