Danieli 4:37
Danieli 4:37 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi mimi, Nebukadreza, namhimidi Mfalme wa mbinguni, namtukuza na kumheshimu; maana matendo yake yote ni kweli, na njia zake ni za adili; na wale waendao kwa kutakabari, yeye aweza kuwadhili.
Shirikisha
Soma Danieli 4Danieli 4:37 Biblia Habari Njema (BHN)
“Na sasa, mimi Nebukadneza ninamsifu na kumtukuza na kumheshimu mfalme wa mbinguni. Maana matendo yake yote ni ya haki, naye huwashusha wenye kiburi.”
Shirikisha
Soma Danieli 4