Danieli 7:13
Danieli 7:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nikaona katika njozi za usiku, na tazama, mmoja aliye mfano wa mwanadamu akaja pamoja na mawingu ya mbingu akamkaribia huyo mzee wa siku, wakamleta karibu naye.
Shirikisha
Soma Danieli 7Danieli 7:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Danieli 7