Danieli 7:14
Danieli 7:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye akapewa mamlaka, na utukufu, na ufalme, ili watu wa kabila zote, na taifa zote, na lugha zote, wamtumikie; mamlaka yake ni mamlaka ya milele, ambayo hayatapita kamwe, na ufalme wake ni ufalme usioweza kuangamizwa.
Shirikisha
Soma Danieli 7Danieli 7:14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Danieli 7