Danieli 7:18
Danieli 7:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini watakatifu wake Aliye Juu wataupokea ufalme, na kuumiliki huo ufalme milele, naam hata milele na milele.
Shirikisha
Soma Danieli 7Danieli 7:18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini watakatifu wake Aliye juu wataupokea ufalme, na kuumiliki huo ufalme milele, naam hata milele na milele.
Shirikisha
Soma Danieli 7