Danieli 9:3
Danieli 9:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Nilimwomba Mwenyezi-Mungu, kwa moyo, nikimtolea dua pamoja na kufunga, nikavaa vazi la gunia na kuketi kwenye majivu.
Shirikisha
Soma Danieli 9Danieli 9:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nikamwelekezea Bwana Mungu uso wangu, ili kusihi kwa maombi, na dua, pamoja na kufunga, na kuvaa nguo za magunia na majivu.
Shirikisha
Soma Danieli 9