Kumbukumbu la Sheria 11:16
Kumbukumbu la Sheria 11:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Jihadharini, mioyo yenu isije ikadanganywa, mkageuka na kuitumikia miungu mingine na kuiabudu
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 11Kumbukumbu la Sheria 11:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jitunzeni nafsi zenu, mioyo yenu isije ikadanganywa, mkageuka na kutumikia miungu mingine na kuiabudu
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 11