Kumbukumbu la Sheria 11:19
Kumbukumbu la Sheria 11:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Wafundisheni watoto wenu maneno haya mkiyazungumzia mketipo katika nyumba zenu, mnapotembea, mnapolala na mnapoamka.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 11Kumbukumbu la Sheria 11:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nayo wafunzeni watoto wenu kwa kuyazungumza uishipo katika nyumba yako, na utembeapo njiani, na ulalapo, na uondokapo.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 11