Kumbukumbu la Sheria 15:11
Kumbukumbu la Sheria 15:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana maskini hawatakosekana nchini; hivyo nawaamuru, muwe wakarimu kwa ndugu zenu wahitaji na maskini nchini mwenu.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 15Kumbukumbu la Sheria 15:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa maana maskini hawatakoma katika nchi milele; ndipo ninakuamuru na kukuambia, Mfumbulie kwa kweli mkono wako nduguyo, mhitaji wako, maskini wako, katika nchi yako.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 15