Kumbukumbu la Sheria 16:19
Kumbukumbu la Sheria 16:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usipotoe maamuzi; wala usipendelee uso wa mtu; wala usitwae rushwa; kwa kuwa rushwa hupofusha macho ya wenye akili, na kugeuza kesi wa wenye haki.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 16Kumbukumbu la Sheria 16:19 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Usipotoe maamuzi; wala usipendelee uso wa mtu; wala usitwae rushwa; kwa kuwa rushwa hupofusha macho ya wenye akili, na kugeuza daawa ya wenye haki.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 16